Sunday, August 13, 2017

FULL TIME EPL: MANCHESTER UNITED 4 vs 0 WEST HAM UNITED, LUKAKU AWATAKATISHA MASHABIKI WA MAN UNITED OLD TRAFFORD LEO. UNITED WALALA KILELENI!

Romelu Lukaka amefunga magoli mawili katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza akiwa na Manchester United huku nao Anthony Martial na Paul Poga wakifunga goli moja kila mmoja.
Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Old Traford Lukaku alifunga goli la kwanza katika dakika 33 kwa shuti kali, nyota huyo raia wa Ubelgiji aliongeza goli la pili katika kipindi cha pili kwa kichwa kiunganisha mpira uliopigwa na Henrikh Mkhitaryan.
Mfaransa Anthony Martial alifunga goli la tatu akiingia dimbani kuchukua nafasi ya Marcus Rashford kisha karamu hiyo ya magoli ilihitimishwa na shuti zuri la mbali lililopigwa na Paul Pogba katika dakika ya 90.
Romelu Lukaku akifunga goli lake la kwanza katika mchezo huo
Anthony Martial akifunga goli la tatu la Manchester United
Kiungo mshambuliaji Mfaransa Paul Pogba akifunga goli la nne
Dakika ya 90 Pogba ndiye aliyewafungia bao la kuhitimisha mtanange huu wa mechi za ufunguzi wa Ligi Luu England kwa kufunga bao la 4. Mtanange umemalizika kwa bao 4-0 dhidi ya West Ham United
Bao la tatu lilifungwa na Anthony Martial Chicharito akijikatia tamaa dakika za mwishoni
Aliyetoea Benchi Declan Rice akichuana vikali na Paul Pogba katika kipindi cha pili cha mchezo huo.Faustine Ruta: Dakika ya 52 kipindi cha pili Lukaku anaunganisha mpira wa kichwa nyavuni na kufanya 2-0.Baadhi ya Wachezaji wa Man United wakimpongeza Lukaku kwa bao alilolifunga dakika ya 33 kipindi cha kwanza.Lukaku akishangilia vikali baada ya kutupia bao na kuwaamsha mashabiki Old Trafford.Matic kaanza kipindi cha kwanzaLukaku dakika ya 33 ameifungia bao Man United la kuongoza baada ya kutanguliziwa pasi safi na Rushford na kufanya 1-0 dhidi ya West Ham United. Hadi mapumziko Man United 1vs 0 West Ham United.NINI WAMESEMA MAKOCHA LEO: Jose Mourinho: 'Tunatarajia leo tunaweza kuendelea kutoa soka nzuri na nyakati za burudani ... tunakutosha kwenda Old Trafford  na tuna kila hali kila mechi kushinda' 
 Slaven Bilic: 'Tunapaswa kuwa imara, hatuwezi kuwaacha kuwa na mpira nyuma yetu ... wanaweza kuwa na mbele yetu ... bila shaka tunapokuwa na mpira tunapaswa kuwafadhaisha kwa kuweka hiyo.
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2017/08/13/15/1502633483200_lc_galleryImage_MANCHESTER_ENGLAND_AUGUST.JPGVIKOSI:
Man Utd
: De Gea, Valencia, Jones, Bailly, Blind, Matic, Pogba, Mata, Mkhitaryan, Rashford, Lukaku.
Akiba: Martial, Smalling, Lingard, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Darmian.

West Ham: Hart, Zabaleta, Reid, Ogbonna, Masuaku, Noble, Obiang, Fernandes, Ayew, Arnautovic, Hernandez.
Akiba: Cresswell, Fonte, Adrian, Sakho, Collins, Byram, Rice. Referee: Martin Atkinson
http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2017/08/13/14/1502631684862_lc_galleryImage_Fans_arriving_at_the_stad.JPGMchezaji mpya wa West Ham United Javier Hernandez, zamani aliichezea pia Man United na sasa zinakutana uso kwa uso muda mfupi ujao.

Mlinda mlango mpya pia wa West Ham United Joe HartManchester United na West Ham United ni klabu za mwisho za kupata kampeni zao za Ligi Kuu wakati wanakabiliana na Old Trafford kuifunga hatua ya Jumapili. Majeshi yatatumaini kurudi nyumbani kwa matoleo ya majira ya joto Romelu Lukaku, Nemanja Matic na Victor Lindelof kwa ziara ya Hammer ambao wangeweza kujivunia wa zamani wa Red Devil Javier Hernandez katika mstari wao.