Tuesday, August 8, 2017

KAGERA SUGAR YATAMBULISHA WACHEZAJI WAKE WAPYA NA KIKOSI KAMILI CHA MSIMU WA 2017-2018 LEO KIKOSI CHA KAGERA SUGAR kilivyo hivi sasa 2017/2018: Makipa- Juma Kaseja, Ramadhan Chalamanda na Said Kipao
   Mabeki wa pembeni: Mwahita Salehe, Godfrey Taita, Adeyun Ahmad, Eradius Msuleba
 Mabeki wa Kati:Mohhamed Fakhi, Hassan Atibu, Juma Nyoso, Juma Ramadhan. 
VIUNGO WA KATI: Georg Kavila, Ozuka Okachuku, Kashiru Salum, Ally Nassor Ufudu, Peter Mwalyanzi, Venance Ludovic. MAWINGA: Japhet Makarai, Paul Ngwai, Seleman Mangoma, Abdallah Mguyi, Ally Ramadhan, Edward Ramadhan. WASHAMBULIAJI: Temmy Felix, Ame Ally, Omary Daga, Japhary Kibaya.