Tuesday, August 8, 2017

KIRAFIKI: KAGERA SUGAR 0 - 0 ALLIANCE SPORTS CLUB

Timu ya Alliance Sports Club ya Jijini Mwanza yatoka sare ya 0-0 na Timu ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba jioni hii.

Vikosi vyote viwili Kagera Sugar na Alliance vilisalimiana kabla ya mtanange kuanza kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Kabla ya Mtanange kuanzaKipa Mkonge Juma K. Juma akiwa benchi wakati wa kipindi cha kwanza kikiendelea. KIKOSI CHA KAGERA SUGAR kilivyo hivi sasa: Makipa- Juma Kaseja, Ramadhan Chalamanda na Said Kipao

   Mabeki wa pembeni: Mwahita Salehe, Godfrey Taita, Adeyun Ahmad, Eradius Msuleba
 Mabeki wa Kati:Mohhamed Fakhi, Hassan Atibu, Juma Nyoso, Juma Ramadhan. 
VIUNGO WA KATI: Georg Kavila, Ozuka Okachuku, Kashiru Salum, Ally Nassor Ufudu, Peter Mwalyanzi, Venance Ludovic. MAWINGA: Japhet Makarai, Paul Ngwai, Seleman Mangoma, Abdallah Mguyi, Ally Ramadhan, Edward Ramadhan. WASHAMBULIAJI: Temmy Felix, Ame Ally, Omary Daga, Japhary Kibaya.

Kipa wa Alliance akiokoa langoni mwake
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime

baadhi ya Wachezaji wapya wa Kagera Sugar.
Timu ya Alliance Sports Club walipata picha ya pamoja ara baada ya kipute kumalizika 0-0 dhidi ya Timu ya Kagera Sugar inayocheza Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara.
Vijana Kazi wa Kikosi cha Timu ya Alliance ya Jijini Mwanza walipata picha ya pamoja baada ya Mchezo kumalizika kwenye Uwanja wa Kaitaba.