Monday, August 28, 2017

KYLIAN MBAPPE AJIFUA KARIBU NA POGBA UFARANSA WAKIJIANDAA NA MICHEZO YA KIMATAIFA

Kylian Mbappe amejifua Vilivyo leo jumatatu na wenzake wa Timu ya Taifa Ufaransa Ufaransa Jumatatu wakati akisubiri subiri kwake kujiunga na Klabu mpya ya  Paris Saint-Germain wajiandaa kukamilika uhamisho wake hivi karibuni.Mbappe ameonekana akijifua  pamoja na  kiungo wa Manchester United Paul Pogba pamoja na mchezaji mpya wa Arsenal  Alexandre Lacazette, kabla ya kushindana kwa Kombe la Dunia siku ya  Alhamisi na Timu ya Uholanzi. Les Blues wako  katika kikundi cha A.
Kylian Mbappe akiwa uwanjani wakati wa mazoezi yao kujiandaa namichuano ya kufuzu kombe la Dunia.

Akijifua vilivyo

Mbappe (kushoto) akikatiza mbele ya straika wa Arsenal Olivier Giroud leo jumatatu

Didier Deschamps akiwa karibu


Mbappe
Alexandre Lacazette
Paul Pogba
Antoine Griezmann