Monday, August 14, 2017

FULL TIME, SPANISH SUPER CUP: BARCELONA 1 - 3 REAL MADRID, PIQUE AJICHOMA, RONALDO NA ASENSIO WAITEKETEZA BARCA!

Timu hizi zitarudiana siku ya jumatano, Pongezi kwa Real kwa kuumaliza mtanange huu wakiwa na mabao 2 mbele ya Barca ambao walikuwa kwenye Uwanja wao.
Barcelona v Real Madrid, Spanish Super Cup first leg LIVE Ronaldo alitoka Benchi na kuipa bao Real dakika ya 79 na kufanya 2-1 dhidi ya Barcelona. Asensio alipachika bao la tatu na kufanya bao kuwa 3-1 dhidi ya Wenyeji Barcelona. Dakika 90 zilimalizika Real wakiwa pungufu baada ya Ronaldo kushangilia kwa kuvua jezi yake na kujitupa chini ndani ya 18 ya lango la Barca na matukio hayo kuweza kutomkalisha uwanjani kwa kuoneshwa kadi nyekundu. Hadi dakika 90 zinakamilika Real Madrid 3 Barca 1.Barcelona v Real Madrid, Spanish Super Cup first leg LIVEVIKOSI:
Barcelona wanaoanza XI:
Ter Stegen; Pique, Alba, Umtiti, Aleix Vidal; Busquets, Rakitic, Iniesta; Deulofeu, Messi, Suarez
Real Madrid wanaoanza XI: Navas; Carvajal, Ramos, Varane, Marcelo; Kroos, Casemiro,
Pique kamfunga kipa wake na kwapa zawadi ya bao Real Madrid kipindi cha pili
Messi aliangushwa chini na Casemiro kipindi cha kwanzaZidane (kushoto) akisalimiana na Kocha wa  Barcelona