Saturday, August 12, 2017

EPL CHELSEA 2 vs 3 BURNLEY, MABINGWA CHELSEA WAANZA MSIMU VIBAYA DARAJANI!

Chelsea v Burnley Premier League LIVE:Chelsea vs Burnley

Gary Cahill dakika ya  (14') alioneshwa kadi nyekundu

Huku bao za Burnley zikifungwa na Sam Vokes dakika ya  (24', na dakika ya 43') na lile la
Stephen Ward dakika ya  (39')


Na kule Everton dhidi ya Stoke City tayari Wayne Rooney amesha ifungia timu yake ya tangu utotoni bao la kuongoza dakika ya 45+1.
Alvaro Morata AKISHANGILIA BAO LAKE MARA BAADA YA KUPATA KLOSI SAFI KUTOKA KWA WILLIAN. Morata akishangilia bao lake
Mpaka mapumziko Matokeo yalikuwa hivi katika mechi za leo
Wayne Rooney (kulia) akitupia kwa kichwa muda mfupi ksbls ya mspumziko Rooney akipeta bao lake muhimu sana kwa Timu yake ya Everton Rooney akiwa Uwanjani  Goodison Park akishangilia bao lake