Sunday, August 13, 2017

FULL TIME..EPL: NEWCASTLE UNITED 0 vs 2 TOTTENHAM HOTSPUR, DELE NA BEN DAVIES WAIPATIA USHINDI SPURS UGENINI.

Kipindi cha pili tena Ben Davies aliifungia bao la pili Spurs na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya wenyeji Newcastle kwenye Uwanja wao. Mtanange huo umemalizika kwa bao 2-0 Spurs wakiibuka kidedea.
http://a1.espncdn.com/combiner/i?img=%2Fphoto%2F2017%2F0813%2Fr243595_1296x518_5%2D2.jpg&w=800&h=320&scale=crop&cquality=80&location=originDele Ali kipindi cha pili dakika ya 61 anaipatia bao la kuongoza Spurs. Newcastle United 0 Spurs 1 sasa.http://a.espncdn.com/combiner/i?img=%2Fphoto%2F2017%2F0813%2Fr243580_1296x518_5%2D2.jpg&w=800&h=320&scale=crop&cquality=80&location=originMpaka mapumziko Timu zilikuwa bado hazijafungana, kwa sasa ni kipindi cha pili kinaendelea..Newcastle wako pungufu 10 uwanjani kipindi hiki cha pili Shelvey kamkanyaga Dele makusudi mbele ya mwamuzi na uadhibiwa kutolewa nje.