Sunday, August 20, 2017

MAJINA 24 YA WACHEZAJI WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA 2017

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza majina ya wachezaji 24 ambao watawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2017, tuzo za mwaka huu zinatarajiwa kutolewa Oktoba 23 katika jiji la London, Uingereza.