Thursday, August 17, 2017

PAULINHO ATAMBULISHWA LEO HII NOU CAMP, AVAA JEZI NAMBA 15

Paulino akifurahia leo hii kwenye Uwanja wa  Nou Camp wakati wa Utambulisho wake.
akichezea mpira kupiga shuti kali mchezaji huyo wa Kibrazil
Paulinho amevalia jezi namba 15
Ni yeye na mpira tuu.