Tuesday, August 29, 2017

SIMBA KUKABIDHIWA NGAO YAO SEPTEMBA 6, SIKU HIYO ITACHEZA NA AZAM FC


Ngao ya Jamii ambayo ilitolewa baada ya Simba kuifunga Yanga kwa penalti 5-4 ikawa imekosewa imeletwa nyingine na itakabidhwa kwa Simba Septemba 6 wakati wa mchezo dhidi ya Azam FC.
Aidha Lucas aliendelea kuomba radhi mashabiki na wapenda soka wote na kuahidi makosa hayo kutojirudia.