Tuesday, August 8, 2017

SIMBA YAWATAMBULISHA WACHEZAJI WAKE

Haruna Niyonzima akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu, Picha na Francis Dande
Gyan
Okwi
Kocha Mkuu Omong
Jackson Mayanja


Manara


Msemaji wa Simba Haji manara akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na nahodha wa timu hiyo Mwanjali.