Sunday, August 20, 2017

SPURS WAENDELEA KUTESWA NA MATESO YA UWANJA WA WEMBLEY, CHELSEA YAWABAMIZA 2-1

Alonso akishangilia bao lake 
Antonio Conte nae alishangilia bao hilo kwa aiana yake
Michy Batshuayi alimfunga kipa wake na kuwapa bao la kusawazisha spurs


1-0

Wengi wamejitokeza kwa wingi  Wembley kushuhudia kipute
Harry Kane kidogo apate bao hapa
Mchezaji matata wa Tottenham Dele Alliakiwekwa kati na  Alonso pamoja na Andreas Christensen
Luiz akioneshwa kadi ya njano na refa Anthony Taylor kipindi cha kwanza.
Eric Dier chini, Moses akimangalia..
Courtois nae kidogo afungwe na Kane
Alvaro Morata aliunganisha krosi lakii mpira ulienda nje ya lango
Chupuchupu aate bao!
Victor Wanyama na winga wa Chelsea Willian
Luiz na Dele Alli leo wakigombea mpira kwenye Uwanja wa Wembley  leo Jumapili, Chelsea ameshinda 2-1.
Mchezaji wa Spurs Mousa Dembele  akimwekea kigingi Victor Moses
Dembele akiwabana, Tiemoue Bakayoko nae akiwa karibu na Moses.
Dembele na Bakayoko wakigombea mpira