Friday, September 8, 2017

ALEXIS SANCHEZ AJIFUA NA WENZAKE TAYARI KWA MCHEZO WAO BOURNEMOUTH

Alexis Sanchez akiwa kwenye mazoezi na wenzake tayari kwa kuwavaa  Bournemouth.

Sanchez alikuwa anahusishwa kuihama  Arsenal  kwenda Manchester City mwezi uliopita

Sanchez  anategemewa kuanza mchezo dhidi ya  Bournemouth kesho jumamosi

Mesut Ozil
Ozil

Jack Wilshere dhidi ya Hector Bellerin
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger