Sunday, October 1, 2017

EPL: ARSENAL 2-0 BRIGHTON, NACHO MAONREAL NA ALEX IWOBI WAIPATIA USHINDI GUNNERS LEO. WENGER ASHEREKEA MIAKA 21

Nacho Monreal (second left) opens the scoring with a neat right-footed finish after the ball had been cleared off the lineMeneja wa Arsenal Arsene Wenger amesherehekea miaka 21 ya kuiongoza Arsenal kwa ushindi dhdi ya Brighton.
Nacho Monreal aliwaweka Arsenal kifua mbele kufuatia mkwaju aliosukuma karibu na eneo la penalti baada ya Brighton kushindwa kuondoa mpira eneo hatari.

Monreal managed to get the ball past a crowd of Brighton players to give his side the lead midway through the first halfArsenal walifunga bao la pili baada ya mapumziko kufuatia counter-attack ambayo ilikamilishwa na Alex Iwobi.
Monreal is congratulated by his Arsenal team-mates after scoring his second goal for the north London outfitBaada ya ushindi huo Arsenal sasa wako pointi moja nyuma ya mahasimu Tottenham ambao pia wako nyuma na viongozi wa ligi Manchester City.
Alex Iwobi

Iwobi akisherehekea bao
Kushoto kulia: Ni Bellerin, Granit Xhaka na  Alexandre Lacazette