Sunday, October 22, 2017

FULL TIME: EVERTON 2 vs 5 ARSENAL, WENGER AFURAHIA USHINDI, TIMU YAKE YAPANDA NAFASI YA TANO.

Sanchez akimchomoka difenda  Michael Keane
Meneja wa Everton  Ronald Koeman  akitoa maelezo kwa mdomo leo wakati wa mechi kati yao na Timu inayoongozwa na Meneja Arsene Wenger Arsenal.
 Rooney akifanya yake leo
Rooney akishangilia bao lake

Arsenak katika mchezo wa leo wametengeneza nafasi nyingi
Arsene Wenger akishangaa wakati wa mchezo wao leo kipindi cha pili
Nacho Monreal  akitupia
Monreal akipongezwa na  Xhaka.