Sunday, October 22, 2017

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 4-1 LIVERPOOL, HARRY KANE AWAPA USHINDI SPURS

Harry Kane akishangilia moja ya bao lake leo Timu yake ya Tottenham ilipoinyuka Liverpool bao 4-1 na kumfanya Meneja wao Mauricio Pochettino afurahie ushindi huo wa 4-1 kwenye uwanja wa  Wembley.
Son Heung-min akimpongeza Staa  Kane alipongunga bao ndani ya dakika 12.
Nahodha wa Liverpool  Jordan Henderson akifoka foka kwa  Joel Matip (kulia) huku  Dejan Lovren akiangalia tuu.