Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo
Benpol akiwapagawisha wakazi wa Mkoa wa Tabora katika Tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
Msanii wa bongo fleva Mr Blue akitumbuiza kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo
Chege akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta
Darassa akitumbuiza kaaika jukwad la Tigo fiesta mapema usiku wa kuamkia leo mkoani Tabora.
Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa Tabora waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Ally Hassan Mwinyi Tabora
Jux akitummbuiza wakazi wa Tabora.
Jux katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
Maua Sama akiimba kwa hisia
Maelfu ya wakazi wa Tabora wakiwa katika Tamasha la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia leo.