Friday, October 13, 2017

PICHA: YANGA WAFANYA MAZOEZI KAITABA MJINI BUKOBA LEO, KESHO JUMAMOSI KUUMANA NA KAGERA SUGAR


Wachezaji wa Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam wakijifua kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba leo hii. Yanga watacheza na Timu ya Kagera Sugar kesho jioni kwenye Uwanja huu wa Kaitaba.