Friday, October 13, 2017

VALENCIA ASHINDA TUZO YA BAO BORA LA MWEZI SEPTEMBA ENGLAND.

Antonio Valencia ni pale alipowafunga bao safi na la kiwango Timu ya  Everton na leo hii kuzawadiwa Tuzo ya bao bara la Mwezi Septemba.
Man United siku hiyo waliishindilia timu ya Everton bao  4-0, Na kwa sasa Man United wako nafasi ya pili kwenye Msimamo wa Ligi Kuu England kwa sasa. Pongezi kwako Valencia.
Valencia akipongezwa na baadhi ya Wachezaji wa Man United siku hiyo ya Mechi.