Thursday, November 2, 2017

BARCELONA YALAZIMISHWA SARE TASA NA OLYMPIAKOS, DAKIKA 90 ZAMALIZIKA KWA 0-0


Barcelona imelazimishwa sare tasa na Olympiakos na kushindwa kufunga goli katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza katika miaka mitano.
Luis Suarez alijikuta mpira alioupiga kwa tik-taka ukigonga mwamba na kukosa goli ambalo lingewafanya watinge hatua ya mtoano mapema.
Saurez pia alionyesha kutokuwa mchonyo wa nafasi za kufunga alipompasi Lionel Messi pande saa moja baadaye lakini halikuzaa goli.


Mshambuliaji Luis Suarez akipiga tik-taka kujaribu kufunga goli

Shabiki akiwa amevamia uwanja na kupiga selfie na Lionel Messi