Sunday, December 31, 2017

MANCHESTER UNITED WATOKA SARE TENA MBELE YA SOUTHAMPTON 0-0

Paul Pogba akiwa chini akilalamika juu ya goli alilolifunga na kuambiwa na mwamuzi kuwa alikuwa kaotea dhidi ya Southampton na kutoka 0-0.
Pogba Akimwangaisha kipa wa Southampton jana usiku

Marcus Rashford akiendesha mpira mbele ya mchezaji wa Southampton.
Shane Long  akiwana mlinda lango David de Gea  ana kipa huyo kuokoa mpira ambao ulikuwa uzame langoni.

chupuchupu!
Long akipagawa kwa kutofunga bao
Jose Mourinho akiwaangalia Vijana Old Trafford
Kipa Alex McCarthy akiokoa mpira langoni mwake
McCarthy alibadilishwa na nafasi yake kutoka kwa Fraser Forster Pogba stands akimwangalia Pierre-Emile Hojbjerg baada ya kuanguka chini.
Romelu Lukaku alipata tatizo na kuumia baada ya kukutana uso kwa uso na  Wesley Hoedt wakigombea mpira wa kichwa.

Lukaku kiwa chini akiugulia jeraha.

Lukaku akiwa hoi!
Juan Mata

Luke Shaw akimwekea kifua Dusan Tadic