Thursday, December 21, 2017

MANCHESTER UNITED YATOLEWA NJE YA KOMBE LA CARABAO, WAJIBANGA NA RATIBA NGUMU INAYOWASONGA YA LIGI KUU ENGLAND.


Mchezaji Korey Smith amefunga goli la dakika za majeruhi wakati timu ndogo ya Bristol City ikiwatoa mabigwa watetezi wa kombe la Carabao Manchester United kwa magoli 2-1.
Smith alifunga goli katika dakika ya mwisho ya mchezo huo na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo ambapo sasa watavaana na Manchester City.

Manchester United manager Jose Mourinho is preparing his side for busy Christmas period Bristol City walikuwa wa kwanza kufunga goli kupitia kwa Joe Bryan lakini goli hilo lilidumu kwa dakika nane kabla ya Zlatan Ibrahimovic kusawazisha.

Zlatan Ibrahimovic akiachia shuti na kufunga goli pekee la Manchester United katika mchezo huo

Korey Smith akifunga goli la ushindi lililowaondoa mabingwa watetezi Manchester United