Saturday, January 20, 2018

BREAKING NEWS! DILI LA SANCHEZ TAYARI!! ASAINI MKATABA WA MIAKA 4 NA NUSU.

Manchester United complete £35m signing of Alexis SanchezLile dili la Uhamisho la Sanchez kutua Man United limekamilika jioni hii wakati Man United nao wakiwa Ugenini Turf Moor wakipambana na Burley ambapo wameshinda bao 1-0 bao likifungwa dakika ya 54 na Antony Martial. Uhamisho huo ambao ulikuwa ukihusishwa na mchezaji wa Man United Henrikh Mkhitaryan kwenda nae Arsenal umekamilika rasmi hii leo jioni baada ya Vipimo vya Afya kukamilika huko Carrington.Manchester United have finally completed the signing of Alexis Sanchez from ArsenalAtakuwa ni mchezaji anayelipwa pesa nyingi kuliko mchezaji mwingine yeyote katika Ligi ya Uingereza. Atakuwa akilipwa £450,000 kwa wiki.

MATOKEO YA MICHEZO YA LEO HII PUNDE EPL
FULL TIME 
Arsenal 4 vs 1 Crystal Palace 
Burnley 0 vs 1 Manchester United 
Everton 1 vs 1 West Brom 
Leicester 2 vs 0 Watford 
Stoke 2 vs 0 Huddersfield 
West Ham 1 vs 1 Bournemouth 

MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND EPL ULIVYO KWA SASA: 

Premier League

PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Manchester CityManchester City2421215165
2Manchester UnitedManchester United2416533353
3ChelseaChelsea2415542950
4LiverpoolLiverpool2313822647
5Tottenham HotspurTottenham Hotspur2313552544
6ArsenalArsenal2412661442
7Leicester CityLeicester City24978434
8BurnleyBurnley24978-234
9EvertonEverton247710-1328
10WatfordWatford247512-1126
11West Ham UnitedWest Ham United246810-1226
12BournemouthBournemouth246711-1125
13Crystal PalaceCrystal Palace246711-1525
14Huddersfield TownHuddersfield Town246612-2224
15Newcastle UnitedNewcastle United246513-1123
16Brighton and Hove AlbionBrighton and Hove Albion245811-1623
17Stoke CityStoke City246513-2523
18SouthamptonSouthampton234910-1121
19West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion2431110-1220
20Swansea CitySwansea City234514-2117