Friday, January 5, 2018

DILI TAYARI!!! CHELSEA WAMSAJILI ROSS BARKLEY KUTOKA EVERTON KWA KITITA CHA £15MILIONI KWA MIAKA 5 NA NUSU.

Dili hili limekamilika leo hii ijumaa na Sasa Ross Barkley ni Mali ya Chelsea na Atavaa jezi namba 8.
Chelsea wamemsajili Ross kwa Kitita cha  £15million  kwa dili la miaka 5 na nusu

Ana miaka 24 tu na atavaa jezi namba  No 8