Saturday, January 20, 2018

FULL TIME: BURNLEY 0 vs 1 MANCHESTER UNITED, ANTHONY MARTIAL AIPA USHINDI UNITED UGENINI TURF MOOR!

Burnley 0-1 Man Utd: Martial rocket earns three pointsAnthony Martial ndie aliyewafungia bao la pekee Man United kwenye ushindi leo huko ugenini kwenye Uwanja wa Burnley -Turf Moor.
Anthony Martial akiachia shuti kali kumfunga kipa wa Burnley kipindi cha pili dakika ya 55 yamchezo huku kipindi cha pili chote wakionekana kupteana United kwa kutolenga hata shuti moja langoni mwa wenyeji wao Burnley.
Martial akimkwepesha shuti  Nick Pope kumfunga mlinda mlango
Martial akipeta baada ya kufunga bao
Mourinho na Pogba wakiusoma mchezo na kupeana neno kama njia mbadala
Pogba akioneshwa kadi nyekundu
Meneja wa Burnley Sean Dyche akiamsha mashabiki baada ya kuona mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza 0-0.