Saturday, January 13, 2018

FULL TIME: CHELSEA 0-0 LEICESTER CITY, CONTE APAGAWA LEO HII WAKISHINDWA KUTAMBA NYUMBANI!

Eden Hazard akipagawa baada ya kushindwa kutumia nafasi kuipatia bao timu yake ya Chelsea usiku huu kwenye Ligi Kuu England EPL.
Victor Moses akiwa chini huku mwamuzi  Mike Jones akimwonesha kinda wa  Leicester Ben Chilwell kadi nyekundu.
Ndani ya Uwanja wa Stamford Bridge leo hii

Mlinda mlango Schmeichel akipangua mpira
Antonio Conte Meneja wa Chelsea akiimiza vijana wake Darajani leo hii

 Aleksandar Dragovic  nae akiwa macho kulinda lango lake

Eden Hazard  akiwa sambamba kumlinda Marc Albrighton
Shinji Okazaki
Conte akitoa salamu

Uwanja wa Chelsea Mashabiki waliingia kwa wingi