Tuesday, January 16, 2018

FULL TIME: MAN UNITED 3-0 STOKE CITY, VALENCIA, MARTIAL NA LUKAKU WAZIONA NYAVU USIKU HUU HUKU MOURINHO AKIMFUKUZIA SANCHEZ!

Romelu Lukaku ndie aliyewafungia bao la tatu na la mwisho Manchester United na kufanya mtanange kumalizika kwa kwa bao 3-0 dhidi ya Stoke City usiku huu inayotararajiwa kunolewa na Paul Lambert aliyeteuliwa leo hii jumatatu mchana. BAO za leo za Man United zilifungwa na Romelu Lukaku, Anthony Martial na Antonio Valencia
Lukaku akishangilia bao lake la tatu usiku huu Jumatatu

Mbelgian Lukaku akimkosha Meneja wake  Jose Mourinho kwa kufunga bao la mwisho na kuumaliza kwa 3-0 dhidi ya Stoke City kwenye Uwanja wa Old Trafford usiku huu.

Mourinho akipongeza ushindi huo huku akiwa amepunguza alama na kubakiwa na pointi 12 nyuma ya Man City.

Anthony Martial ndiye aliyefunga bao la pili

2-0 na hapa akishangilia bao lake
Martial akipongezana na Jesse Lingard pamoja na Juan Mata
Martial AKIZIONA NYAVU ZA STOKE CITY

Mata chupuchupu afunge bao yeye hapa
Martial akijaribu kumtoka kipa wa Stoke City

Meneja mpya wa Stoke Paul Lambert aliyeteuliwa jumatatu hii ili awakwamue nae alikuwa akishuhudia kipute Old Trafford.
Stephen Ireland hoi chini!!
 Ireland  akifanya jitihada binafsi
Antonio Valencia ndie aliyewapa bao mapema la kuongoza Man United
Valencia akiwa anaomba kwa bao lake la kufungua
 Ireland akiwa kanuna huku kashikilia mpira
Valencia alifofanikisha bao la kwanza
Kipa Butland
 Martial akimtoka  Moritz Bauer lakini mwamuzi  Anthony Taylor alisema kipute kiendelee kajitupa yeye chiniMtu kati