Saturday, January 13, 2018

FULL TIME: REAL MADRID 0-1 VILLARREAL, RONALDO ASHINDWA KUTEMA CHECHE TENA LEO! ZIDANE KWENYE KUTI KAVU!

Pablo Fornals ndie aliyewanyanyua mashabiki kwenye viti dakika za lala salama,  Villarreal walipowachapa Real dakika za majeruhi.
Cristiano Ronaldo ameshindwa kutamba kwenye uwanja wao wa  Santiago Bernabeu

Kichapo ni shidaaa!
Gareth Bale  nae alishindwa kutema cheche na nafasi yake ilichukuliwa na  Lucas Vasquez
Ronaldo akiwa na machungu mengi ya kutofanikiwa bao


Isco  akiwa chini ya Ulinzi
Ronaldo akiwa kwenye wasiwasi mkubwa mbele ya Mwamuzi  Alberto Undiano Mallenco akimtaka atoe penati.
Luka Modric

Meneja wa Real Madrid  Zinedine Zidane yupo kwenye hatari huku waasimu wao wakubwa Barca wakimchekelea kileleni kwa alama nyingi.
Ronaldo
Casemiro
Ronaldo akijiuliza swala huku akionesha macho