Friday, January 5, 2018

FULL TIME: TOTTENHAM 1-1 WEST HAM

Mkorea Kusini Son Heung-min na Pedro Obiang wamefunga magoli masafi ya mashuti ya mbali wakati Tottenham ikilazimisha sare ya 1-1 dhidi ya West Ham.
Obiang aliachia shuti la umbali wa yadi 35 na mpira kujaa kwenye kona ya juu ya goli, naye Son alifanikiwa kufunga kwa shuti la umbali wa yadi 30 katika dakika ya 84.
Pedro Obiang akiachia shuti la umbali wa yadi 35 na kufunga goli
Son Heung-min akiachia shuti na kufunga goli la kusawazisha kwa umbali wa ydi 30
Maajabu ya mpira kipa Adrian akidaka kichwa cha Cheikou Kouyate badala ya mpira