Monday, January 22, 2018

JUMA KASEJA: SIMBA WANABAHATI LEO!


Makosa mawili waliyofanya Kagera Sugar ndio yaliyowasabishia vipigo hiyo viwili na kufanya mtanange kumalizika kwa bao 2-0 kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii kwenye Ligi kuu Vodacom.
Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Timu Kagera Sugar.
Mna bahati yenu leo!