Sunday, January 21, 2018

LA LIGA: GALETH BALE, NACHO, CRISTIANO RONALDO WAIRUDISHA REAL MADRID NDANI YA "TOP 4" MASHABIKI WAFURAHIA. ZINEDINE ZIDANE APONGEZA USHINDI HUO!

REAL MADRID 7-1 DEPORTIVO LA CORUNAMlinda mlando wa Deportivo  Ruben Martinez akishuhudia mpira ukizama langoni mwake
Bale akishangilia bao lake kabla ya mapumziko
Bale akigombea mpira wa kichwa
Shangwe kwa Bale baada ya kufunga bao mbili leo

Cristiano Ronaldo alionekana kama hana bahati leo baada ya kipindi cha pili kuonekana si wa kufunga hata bao moja lakini baadae kipindi cha pili nae alitupia bao mbili
Ronaldo (kulia) na Bale wakipongezana kwa kufunga bao
Adrian Lopez akishangilia bao lake

Nacho nae leo kafunga mbili dhidi ya  Deportivo kwenye Uwanja wao wa  Bernabeu
Shangwe kwa Mashabiki kuwapa sapoti kwa kufunga bao