Sunday, January 21, 2018

LA LIGA: REAL MADRID 7 vs 1 DEPORTIVO LA CORUNA, NACHO, CRISTIANO RONALDO NA GARETH BALE WARUDISHA HESHIMA KWA ZIDANE BERNABEU!

Dakika ya 84 Cristiano Ronaldo alitupia tena huku bao la saba likifungwa tena na Nacho dakika 88 na mtanange kumalizika kwa bao 7-1.
Dakika ya 78n Cristiano Ronaldo alitupia na yeye kambani na kufanya matokeo kuwa 5-1 dhidi ya Timu ya Deportivo la Coruna. Luka Modric dakika 60 aliifanikishia bao 4 Real Madrid na kufanya matokeo kuwa 4-1.
Real Madrid 2-1 Deportivo LIVE: La Liga at the BernabeuKipindi cha pili dakika 50 Gareth Bale alitupia tena bao la pili na kufanya Real iongoze kwa bao 3-1 dhidi ya Timu ya Coruna.

Bao la pili la Real Madrid lilifungwa dakika ya 42 na Gareth Bale na kufanya 2-1 huku la Coruna moja lilifungwa na Adrian Lopez
LIVE: Real Madrid vs Deportivo La Coruna
Kipindi cha kwanza Real walianza wao kufungwa na baada ya muda  Nacho akaisawazishia bao kwa kufanya 1-1. 


Real Madrid 1-1 Deportivo (Nacho)