Sunday, January 21, 2018

FULL TIME EPL..SOUTHAMPTON 1 vs 1 TOTTENHAM HOTSPUR, BALE AOKOA JAHAZI UGENINI!

Kane Akishangilia bao lake kwa kusawazisha bao mbele ya Kocha wake  Mauricio Pochettino' kwenye dakika ya 18 ya mchezo.
Kane akipongezwa

1-1

Kane alipotupia na kufanya 1-1
Kane akijaribu kumfunga kipa wa Soton hii leo


VIKOSI:
Southampton wanaoanza XI:
McCarthy, Cedric, Stephens, Hoedt, Bertrand, Romeu, Hojbjerg, Ward-Prowse, Lemina, Tadic, Gabbiadini
Southampton AKIBA: Davis, Boufal, Redmond, Pied, Bednarek, Forster, Obafemi Tottenham 

Hotspur wanaoanza XI: Vorm, Aurier, Sanchez, Vertonghen, Davies, Dier, Dembele, Sissoko, Alli, Son, Kane
Tottenham AKIBA: Trippier, Lamela, Wanyama, Llorente, Foyth, Gazzaniga, Walker-Peters