Saturday, January 20, 2018

FULL TIME EPL BRIGHTON 0 vs 4 CHELSEA, HAZARD NA WILLIAN WAITAKATISHA BLUES UGENINI LEO.


Eden Hazard amerejesha makali yake kwa kufunga magoli mawili na kuisaidia Chelsea kuibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Brighton.
Eden Hazard alifunga goli la kwanza kwa kumalizia vyema mpira ndani ya eneo la penati kisha kiungo Willian akaongeza la pili kwa umbali wa yadi 18.

Hazard tena akafunga goli la tatu, kisha Victor Moses akafunga goli la nne, na kuifanya Chelsea kufikisha pointi sawa na Mannchester United katika nafasi ya pili.


Hazard akifunga goli lake la pili huku mchezaji mwenzake Michy Batshuayi akiwa amelala chini akiangalia mpira

Victor Moses akikamilisha ushindi mnono kwa kufunga goli la nne la Chelsea
LIVE: Brighton 0 vs 2 Chelsea - Hazard na Willian tayari wameishawanyanyua Mashabiki kwenye Viti.sman's flag. Mtanange ukiendelea..

VIKOSI:
Brighton: Ryan, Goldson, Duffy, Dunk, Suttner, Schelotto, Stephens, Propper, March, Gross, Hemed
AKIBA: Hunemeier, Kayal, Baldock, Murray, Izquierdo, Rosenior, Krul
Chelsea: Caballero, Azpilicueta, Christensen, Rudiger, Moses, Kante, Bakayoko, Alonso, Willian, Batshuayi, Hazard
AKIBA: Barkley, Musonda, Zappacosta, Luiz, Eduardo, Ampadu, Sterling
Refa: Jonathan Moss (County Durham)