Sunday, January 14, 2018

LIVERPOOL WAIZIMA CITY KWA KICHAPO CHA KWANZA TANGU MSIMU UANZE!! WALIPA KISASI WAKIIFUNGA CITY BAO 4-3Meneja wa  City Pep

Salah baada ya kutupia bao na hapa akiomba Mungu kwa bao alilolifunga!

Matumaini kwa City yalionekana mwishoni baada ya kuanza kurudisha bao
Gundogan alifanya 4-3 na mtanange kumalizika kwa Liverpool kuibuka kidedea...

 Guardiola timu yake ya Stafu wakiwa hawana lolote la kufanya!
Ederson
Klopp  akiwapongeza Vijana wake kwa ushindi dhidi ya Man City leo hii kwenye Uwanja wa Anfield