Monday, January 15, 2018

MAN UNITED WAJIANDAA NA MTANANGE DHIDI YA STOKE CITY USIKU HUU, JOSE MOURINHO AKABANA KOO NA ALEXIS SANCHES


Henrikh Mkhitaryan akiwa meno nje huku akionekana kwenye kikosi cha  Manchester United kitakachopambana na Timu ya Stoke City usiku huu kwenye Ligi kuu England.
Arsene Wenger anataka Mkhitaryankama  Alexis Sanchezatajiunga na  Manchester United
Romelu Lukaku (kati) na Paul Pogba (kulia)wakielekea Hotelini
David de Gea na Ander Herrera wote pia wanatarajia kucheza leo hii usiku dhidi ya Timu yas Timu ya Stoke City ambayo ipo katika nafasi ya chini.
Mklabaji wa Manchester United  Juan Mata
Nemanja Matic
Antonio Valencia