Saturday, January 20, 2018

MANCHESTER UNITED WATUPILIA MBALI SWALA LA KUMSAINI CRISTIANO RONALDO, NAMBA 7 KUMPATIA ALEXIS SANCHEZ

Manchester United wameacha kumfatilia mchezaji wao wa zamani Cristiano Ronaldo, ambaye kwa sasa anakipia katika Klabu ya Real MadridReal Madrid. Kwa mujibu wa gazeti la Hispania Marca, kuona mpaka sasa wanamvuta Alexis Sanchez kutoka Arsenal ambaye yupo mbioi kujiunga na Mashetani hao wanatarajia kumpatia mchezaji huyo jezi namba 7 ambayo na yeye Cristiano Ronaldo alikuwa anavaa. Cristiano Ronaldo mwenye miaka 32 alikuwa kwenye rada zao kumtaka kurudi. Sanchez atachukua jezi No 7 katika kikosi cha Jose Mourinho, namba ambayo ilikuwa ikiifadhiwa tangu  Ronaldo atoke mpaka hatua hii.

Ronaldo

Alexis Sanchez yupo mbioni kujiunga akitokea Arsenal kwenda Manchester United