Sunday, January 21, 2018

MASOUD DJUMA:TUTABEBA POINTI TATU KAITABA! EMMANUEL OKWI ANOLEWA KISAWASAWA!

Kocha wa Klabu ya Simba Sc, Masoud Djuma ambaye ndiye anayeisimamia Timu hiyo hapa Kagera ambapo kesho anatarajia kuiongoza Timu hiyo dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba.Makipa wa wawili wa Timu ya Simba SC
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi katikati wakati wa mazoezi leo kaitaba.