Saturday, January 20, 2018

NANI ANAMHITAJI SANCHEZ??? ARSENAL WAFURAHIA USHINDI WAO WA BAO 4-1 DHIDI YA TIMU YA CRYSTAL PALACE NDANI YA KIPINDI CHA KWANZA!


Alexandre Lacazette akishangilia bao lake la 4-0 ndani ya dakika 22 za mchezo wao huko Emirates
Laurent Koscielny alifanya 3-0 na hapa akipongezwa na  Granit Xhaka pamoja na  Shkodran Mustafi

Kumbukumbu!
Nacho Monrealakishangilia bao lake