Monday, January 15, 2018

RYAN GIGGS AMECHAGULIWA KUWA MENEJA MPYA WA TIMU YA TAIFA YA WALES.

Ryan Giggs amechaguliwa kuwa Meneja mpya wa timu ya Taifa  ya Wales, Amechukua hatua yake ya kwanza katika ulimwengu wa usimamizi. Tangu amalizane na Manchester United alikuwa hajapata Timu ya Kufundisha au kupata Kazi ya Kudumu kama hii aliyopata. Baraza linaloongoza sasa limethibitisha uteuzi wa Giggs kama meneja na video ya Twitter imethibitisha hilo, ambako anashikilia shati la Wales aloft. Bukobasports.com tutazidi kuwaletea matukio na habari zaidi za kimichezo.
Manchester United Rejendali Ryan Giggs  ameteuliwa kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Wales
Giggs akiwa amepozi
Giggs alikuwa mchezaji wa zamani wa Man United na pia  kocha msaidizi katika kipindi cha mpito cha Man United.