Sunday, January 14, 2018

WIKI YAMALIZA VIBAYA KWA ARSENE WENGER! AKUBALI KICHAPO CHA BAO 2-1 DHIDI YA BOURNEMOUTH

Arsene Wenger akijionea Jordan Ibe

 Bournemouth waliposawazisha bao na kufanya 1-1 dhidi ya Arsenal


Arsene Wenger akijionea
Bournemouth wameupiga bila Straika wao Jermain Defoe
Jack Wilshere  akichuana vikali na  Ryan Fraser
Straika wa Bournemouth  Callum Wilson akigombea mpira wa juu dhidi ya Callum Wilson
Steve Cook akichuana na Danny Welbeck
Alex Iwobi
Nahodha wa Bournemouth  Simon Francis akinyatiwa na Straika wa  Arsenal  Alexandre Lacazette
Hector Bellerin
Danny Welbeck
Fraser akifanya yake leo
Bellerin ndie aliyeanza kuwapa bao la kuongoza Arsenal na hapa akilishangilia

Mlinda mlango wa Bournemouth  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya
Bellerin akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao hilo
Begovic
Bournemouth walisawazisha dakika ya 70 na kufanya 1-1

Miaka 25 tu ndie aliyemfunga kipa wa Gunners  Cech na kufanya 2-1
Eddie Howe akipongeza ushindi wa bao

Shangwe leo!