Sunday, February 25, 2018

CARABAO: MANCHESTER CITY WABEBA KOMBE WEMBLEY BAADA YA KUIPIGA ARSENAL 3-0, PEP GUARDIOLA AFURAHIA USHINDI HUO!Pep Guardiola kaanza kupata kombe la kwanza akiwa Man City leo hii kwenye Uwanja wa Wembley

Sergio Aguero, Vincent Kompany na David Silva
 Nicolas Otamendi, Ilkay Gundogan na Vincent Kompany wakipongeza kwa mabao 3-0 waliyopata leo hii kwenye Uwanja wa Wembley.

 Vincent Kompany akishangilia bao lake mbele ya Danny Welbeck
Wachezaji wa Arsenal wakiwa hawana raha baada ya kunyukwa bao 3-0 na Man City