Saturday, February 10, 2018

MANCHESTER CITY 5-1 LEICESTER CITY, AGUERO APIGA HAT-TRICK NA KUIPASHA JUU ZAIDI KILELENI CITY


Raheem Sterling ndie aliyeanza kuziona nyavu za Leicester city

Sterling akishangilia bao lake

Sterling akipewa pongezi na e De Bruyne

Jamie Vardy aliisawazishia bao na kufanya 1-1

Shangwe!
 Sergio Aguero akafunga bao muda mfupi

Alitupia tena...

Aguero alitupis bso la tatu