Wednesday, February 21, 2018

PAUL POGBA AAMBIWA ATAANZIA BENCHI UEFA CHAMPIONS USIKU HUU DHIDI YA SEVILLA


Staa wa Manchester United Paul Pogba  kwenye mtanange wa usiku huu dhidi ya Sevilla kapangwa kuanzia nje kwenye benchi. Ataingia wakati wa kipindi cha pili.

Pogba  alifanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha  Manchester United siku ya jumanne jana.