Saturday, February 10, 2018

TOTTENHAM 1 vs 0 ARSENAL, KANE AIWEKA SPURS NDANI YA "TOP 4" WENGER ASHANGAA!!

Harry Kane akishangilia bao lake akiwa karibu na  Dele Alli kwenye uwanja wa Wembley leo hii jumamosi mchezo wa Ligi Kuu. Spurs wamepanda juu hadi nafasi ya tatu huku wakiwa na Alama 52 mbele ya pointi 7 dhidi ya Timu ya Arsenal.

Laurent Koscielny akimcheki kipa Petr Cech wakati wa bao hilo.

Kane akiwania mpira wa kichwa na kufunga bao
Kipa na Nahodha  Hugo Lloris akishangilia bao

Alexandre Lacazette kidogo asawazishe bao hapa

Akijutia nafasi yake

 Jack Wilshere na Erik Lamela kidogo watupiane makonde mchezo ulipomalizika

1-0