Friday, February 23, 2018

WAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA FIFA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Kinyango Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Bandera ya FIFA kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania.PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Jezi namba Tisa kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February 22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU