Wednesday, March 14, 2018

DAVID SILVA AISOGEZA MANCHESTER CITY KARIBU ZAIDI NA UBINGWA, WAKIICHAPA TIMU NGUMU STOKE CITY BAO 2-0


Kapteni wa Manchester City amesema kwa mara ya kwanza klabu hiyo inanafasi ya kushinda Ligi Kuu ya Uingereza kwa kuwafunga wapinzani wao wa jadi Manchester United.
Kapteni huyo Vincent Kompany ametoa kauli hiyo baada ya kushinda jana dhidi ya Stoke City na kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi 16.
Katika mchezo huo wa jana usiku David Silva alifunga magoli yote mawili na kuibuka na ushindi wa magoli 2-0, na iwapo wataifunga Everton kwanza watatwaa kombe nyumbani.


David Silva akiachia shuti na kufunga goli la kwanza la Manchester City

David Silva tena akitupia wavuni goli la pili na kuihakikishia Manchester City ushindi