Wednesday, March 14, 2018

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MAN UNITED WATUPWA NJE ! SEVILLA WAIBUKA KWA USHINDI WA BAO 2-1 NDANI YA DIMBA LA OLD TRAFFORD, BEN YEDDER AWA MWIBA KWA JOSE MOURINHO!


Wissam Ben Yedder akiifungia bao la kwanza Sevilla kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya Usiku

Ben Yedder akishangilia vikali bao lake, baada ya kutokea benchi na kuwageuzia kibao Man United kwenye Uwanja wao kwenye hatua ya 16 bora.

 Jesse Lingard na  Romelu Lukaku wakijiuliza

Ben Yedder  alitupia bao la pili tena kwa kichwa

Wachezaji wa Sevilla wakishangilia mbele ya Mashabiki wao wachache kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba.

Kipa  De Gea looks akijiuliza nae

Romelu Lukaku alitupia bao na kufanya 2-1 dakika za lala salama