Monday, March 19, 2018

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MCHEZO WA KIRAFIKI VIJANA WA NGORONGORO HEROES NA MOROCCO KATIKA UWANJA WA UHURU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya mashabiki wa Tanzania na Morocco walio kuja kushudia mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa Timu ya Taifa Vijana walio chini ya Umri wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes )na Timu ya Morocco.Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Balaozi wa Morocco Nchini Tanzania ,Abdelilah Benryane . mchezo huo umefanyika jana kwanye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam March 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Morocco nchini, Abdelilah Benryane . walipokutana kushuhudia mchezo wa kirafiki wa kimataifa, Timu ya Taifa Vijana walio chini ya Umri wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes )na Timu ya Morocco. Ambao umefanyika jana kwanye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam March 18, 2018. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU