Friday, April 6, 2018

Arsenal 4-1 CSKA Moscow: Alexandre Lacazette na Aaron Ramsey waitanguliza mguu mmoja Gunners Klabu Bingwa Ulaya

Aaron Ramsey akishangilia bao lake la kuitanguliza Arsenal
Mpira wa Adhabu kuelekea Langoni mwa Arsenal
Alexandre Lacazette akishangilia bao lake
Ramsey tena akiwapa kipigo Timu ya CSKA Moscow
Baadhi ya wachezaji wa Arsenal wakimpongeza  Lacazette kwa bao lake la pili